IQNA

TEHRAN (IQNA)- Masjid al-Kufa au Msikiti wa Jamia wa Kufa, ni moja kati ya misikiti ya kale zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na uko katika mji wa Najaf, Iraq.

Katika msikiti huo kuna Haram Takafitu ya Imam Ali AS na pia kuna makaburi ya Waislamu mashuhuri kama vile Muslim ibn Aqeel, Hani ibn Urwa, na  Al-Mukhtar.