IQNA

Kiongozi Muadhamu akutana na wanafunzi wa vyuo vikuu Iran

Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumanne jioni alipoonana na wanafunzi wa vyuo vikuu na wawakilishi wa vyama vya wanachuo kutoka kona zote za Iran.