IQNA

Mkutano wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Rais Bashar al Assad wa Syria

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Jumapili mjini Tehran alipoonana na Rais Bashar al Assad wa Syria na ujumbe alioandamana nao hapa Tehran