IQNA

Mavuno ya maua ya waridi kusini-magharibi mwa Iran

MEYMAND (IQNA) - Mwezi Mei ni mwezi wa mavuno ya maua ya waridi kote Iran. Wakulima huanza kuvuna mapema asubuhi na kusitisha wakati jua linapokuwa kali.
Maji ya maua ya waridi hupatikana katika mfumo ujulikanao kama "Golab-Giri'. Hizi hapa chini ni picha za mchakato wa mavuno ya maji ya waridi katika mji wa Meymand, mkoani Fars.