IQNA

Jumba la Makumbusho la Qur'ani la Shiraz, Iran

SHIRAZ (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Qur'ani liko katika Kituo cha Sayansi na Teknolojia cha Mkoa wa Shiraz kusini mwa Iran.
Jumbo hilo lina nakala 900 za Qur'ani Tukufu ambazo zimechapishwa kwa anuai ya mbinu na kwa kutumia sanaa bora za Kiislamu. Misahafu hiyo imekusanywa na Dariush Navidgooei.