IQNA

Sayari ya Dunia

Mpiga Picha bora wa mwaka 2022 wa 'Njia ya Maziwa'

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mpiga picha bora zaidi wa "Njia ya Maziwa' mwaka 2022 wametangazwa katika blogu ya usaifiri ya Capture the Atlas.

 Galaksi ya Njia ya Maziwa au Milky Way, ambayo mfumo wetu wa jua ni sehemu yayo, yakadiriwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya nyota. Galaxy ya Njia ya Maziwa ina mfumo wa jua, sayari ya Dunia na nyota zote zinazoonekana kwa macho.

 
 
Kishikizo: njia ya maziwa