IQNA

Haram ya Imam Ali AS yasafishwa baada ya upepo wa mchanga

TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Imam Ali AS mjini Najaf, Iraq imesafishwa baada ya siku kadhaa za upepo wa mchanga katika maeneo kadhaa ya Iran na nchi zingine za Asia Magharibi.