IQNA

Msikiti Mkubwa Zaidi Yemen

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Watu wa Yemen au Masjid al-Shaab ni msikiti mkubwa zaidi nchini Yemen. Msikiti huo ulio katika mji mkuu, Sana’a, ulifunguliwa mwaka 2008 na una ukubwa wa mita mraba 28,000 na una uwezo wa kubeba waumini 44,000.