IQNA

Ibada ya Hija

Mahujaji Wairani wakiwa wanasoma Dua ya Arafah ya Imam Hussein AS

TEHRAN (IQNA) - Maelefu ya Mahujaji Wairani jana walikusanyika katika eneo la Arafat mjini Makka Ijumaa kwa ajili ya kusoma dua maalumu ya Imam Hussein katika Siku ya Arafah.