IQNA

Ramadhani

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 25

Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.

Ramadan Daily Supplications: Day 25

Ewe Mwenyezi Mungu; Siku hii, (tafadhali) nifanye niwe na mapenzi kwa waja wako wa karibu. Na niwafanyie uadui maadui zako, na nifuate mafundisho ya Mtume Wake wa Mwisho. Ewe Mlinzi wa nyoyo za Mitume.

Kishikizo: dua za kila siku ، ramadhani