iqna

IQNA

ramadhani
Qiraa ya Qur'ani
IQNA – Sheikh-ul-Qurra (mbora wa maqari) wa Bangladesh ni miongoni mwa maqari ambao qiraa yake imevutia wengi katika cha Televisheni cha Mahfel.
Habari ID: 3478678    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kanali ya Televisheni ya Al-Kawthar yamemalizika tamati, huku qari wa Iran Ustadh Mostafa Hemmat Qassemi akishinda tuzo ya juu zaidi.
Habari ID: 3478668    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 30 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478665    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

Idul Fitr
IQNA - Ramadhani, mwezi wa ibada na kujitolea, unafikia kilele kwa Waislamu kujiandaa kupokea malipo yao kutoka kwa Mwenyezi Mungu baada ya mwezi wa saumu na ibada.
Habari ID: 3478663    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

Sikukuu ya Idul Fitr
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
Habari ID: 3478662    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

IQNA - Mamilioni ya Waislamu duniani kote husherehekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa matukio tofauti kama vile usomaji wa Qur'ani, futari ya pamoja na sala za jamaa.
Habari ID: 3478658    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 29 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478657    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 28 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478655    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/08

Ramadhani
IQNA - Qari wa Iran Ustadh Hamed Shakernejad na Qari wa Kuwait Sheikh Abdullah Abul Hassan wamesoma Qur'ani kwa mtindo wa Munafisah katika kipindi maarufu cha televisheni cha Qur'ani nchini Iran kinachojulikana kama Mahfel.
Habari ID: 3478651    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/08

Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478649    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09

Ramadhani
IQNA-Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478648    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/08

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 27 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478643    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Washindi wa  mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kuhifadhi Qur'ani ya Katara 2024 walitunukiwa katika hafla iliyofanyika Doha, Qatar, Ijumaa.
Habari ID: 3478642    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Ramadhani
IQNA - Kufunga au saumu ni jambo la kawaida katika tamaduni na dini nyingi ulimwenguni kwa milenia.
Habari ID: 3478640    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Laylatul Qadr
IQNA-Katika mkusanyiko wa kihistoria, Waislamu milioni 2.5 walikusanyika na kusali katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, Saudi Arabia, siku ya Ijumaa kuhusiha mojawapo ya usiku mtukufu zaidi wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3478638    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 26 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478637    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Siku ya Kimataifa ya Quds
IQNA-Siku ya Quds mwaka huu 2024 imewadia huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiwa umekwama kwenye kinamasi cha Gaza licha ya mauaji ya kimbari unayoendelea kufanya katika eneo hilo la Palestina ambayo tokea Oktoba mwaka jana hadi sasa yamepelekea Wapalestina wasiopungua 33,000 kuuawa, wengi wakiwa ni wanawake na watoto.
Habari ID: 3478632    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/05

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 25 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478631    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/05

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 24 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478628    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/04

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Maonyesho 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalifikia tamati Jumanne usiku.
Habari ID: 3478626    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/03