IQNA

Bango | Sauti ya watoto wanaodhulumiwa wa Palestina

IQNA-Bango la "Sauti ya Watoto wanaodhulumiwa wa Palestina" limesambazwa ili kuenzi juhudi za shahidi Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, ambaye alikuwa mstari wa mbele katika kutetea haki za watu wanaodhulumiwa wa Palestina hasa watoto katika vikao na taasisi za kimataifa.

Poster | la voie des enfants opprimés de la Palestine