Msikiti wa Kwanza Duniani: Msikiti wa Quba katika Picha
IQNA - Msikiti wa Quba mjini Madina unaaminika kuwa msikiti wa kwanza duniani. Jiwe lake la kwanza inasemekana liliwekwa na Mtume Muhammad (SAW) katika siku ya kwanza ya kuhama au kugura kwake kwenda Madina.