IQNA

Muharram 2024: Maombolezo ya Ashura kote Iran katika Picha kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS)

Mamilioni ya Wairani kote nchini walishiriki katika mikusanyiko ya maombolezo tarehe 16 Julai 2024, kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS) ambayo inajulikana kama siku ya Ashura.