IQNA

Bango | 'Fedheha Kubwa' kwa Bunge la Marekani

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amekosoa kupokewa na kushangiliwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Bunge la Congress la Marekani akisema ni fedheha kubwa.

"Ulimwengu lazima ufanye uamuzi mzito zaidi katika kukabiliana na janga hili. Ni lazima serikali, mataifa, wasomi, na viongozi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali wafikie uamuzi. Unapoitazama kadhia kwa njia hii, unagundua ni fedheha kubwa iliyoje ambayo Bunge la Marekani lilijiletea juzi kwa kukusanyika kumsikiliza mhalifu huyu [Benjamin Netanyahu]. Hii ni fedheha kubwa,” alisema Julai 28, 2024.

Poster: ‘Huge Disgrace’ for US Congress

Chanzo: khamenei.ir