Muongozo wa Hadithi | Kamwe Usizungumze Yasiyo na Maana
Imam Hussein (AS) amesema: “Usizungumze juu ya yale yasiyo na maana, kwani mimi naogopa utabebeshwa mizigo wa dhambi, na wala usizungumzie yanayofaa mpaka upata mahala panapofaa kuzungumza. Mizan Al Hikma, Jildi ya 10 Uk. 190