IQNA

Aya za Maisha: Nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui

IQNA – “Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." Aya 41 ya Surah Al-Ankabut.