Picha: Haram ya Imam Ridha yawazawadia watu wa Lebanon nakala za Qur'ani
IQNA – Nakala elfu tano za Qur’ani Tukufu na Mafatih al-Jinan zilitolewa na Haram ya Imam Ridha (AS) tarehe 26 Oktoba 2024, kwa watu wa Lebanon ili kuunga mkono mapambano yao dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.