Hafla katika Mnara wa 'Jasmine ya Samawati' Kusini mwa Iran katika Maadhimisho ya kufa shahidi Bibi Zahra (SA)
IQNA - Katika kumbukumbu ya kuuawa shahidi Bibi Fatima Zahra (SA) matukio mbalimbali ya maombolezo yamefanyika kwenye mnara wa Jasmine ya Samawati" huko Fathabad Viilage, karibu na Shiraz, mkoa wa kusini wa Iran wa Fars.