Kitengo cha Wanawake katika Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Sherehe za kufunga sehemu ya kasida katika kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ilifanyika katika ukumbi wa Sala (Musalla) wa Tabriz tarehe 3 Desemba 2024.