IQNA

Ayatullah Khamenei ahudhuria majlisi ya maombolezo ya usiku wa Ashura mjini Tehran

Shughuli ya maombolezo ya usiku wa Ashura ilifanyika jioni ya jana Jumamosi katika Husseiniya ya Imam Khomeini mjini Tehran, ikihudhuriwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na mkusanyiko mkubwa wa watu wa matabaka mbalimbali.