IQNA

Picha: Hafla ya Kufunga Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Moscow 2025

Hafla ya Kufunga Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Moscow 2025 ilifanyika tarehe 18 Oktoba 2025 katika ukumbi wa Cosmos , jijini Moscow ikihudhuriwa na washiriki kutoka nchi mbalimbali, viongozi wa kidini, na wageni wa heshima.
.