IQNA

Mitaa ya Tehran Imepambwa kwa Taa kwa mnasaba wa Shaabani na Ramadhani

TEHRAN (IQNA) – Mitaa na viwanja kadhaa kote Tehran vimepambwa kwa taa kuashiria sherehe za mwezi wa Shaabani na kuukaribisha Mwezi Mtukufu Ramadhani.