TEHRAN (IQNA) – Waislamu hufunga kuanzia alfajiri hadi magharibi ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na huhitimisha kwa kula chakula mbacho ni maarufu kama futari. Mara nyingi Waislamu hujumuika pamoja kula futari.
Picha zifuatazo zinaangazia Futari katika nchi mbali mbali.