Sherehe ya Ufunguzi ya Mkutano wa Umoja wa Kiislamu wa Kimataifa huko Tehran
IQNA – Sherehe ya ufunguzi ya Mkutano wa 39 wa Umoja wa Kiislamu wa Kimataifa ilifanyika asubuhi ya Jumatatu, Septemba 8, 2025, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano katika mji mkuu wa Irani, Tehran.