IQNA

Kikao cha Kujikurubisha na Qur’ani Katika Msikiti wa Quba, Sanandaj, Iran

IQNA- Katika tukio la kiroho lililojumuisha usomaji wa Qur’ani kimefanyika katika Msikiti Mkuu wa Quba, eneo la Baharan, Sanandaj nchini Iran.