IQNA

Msikiti wa Kaburi la Sheikh Shahab ol-Din Ahari eneo la Ahar, Iran

IQNA – Msikiti wa kihistoria wa kaburi la Sheikh Shahab ol-Din Ahari, ulioko Ahar, kaskazini-magharibi mwa Iran, ni mfano bora wa sanaa na usanifu wa enzi ya wafalme wa silsila ya Safavi.