IQNA

Katika amali zenyewe za Hija, kurusha mawe kwenye Jamarati, ni nembo ya kumfahamu adui na kukabiliana naye. Endapo itafika siku katika ulimwengu wa Kiislamu na Umma wa Kiislamu ukaweza kujivua na shari ya maadui hatari, jambo ambalo linayumkinika pia, hakutakuwepo tena falsafa ya kutangaza kujibari. Lakini kutokana na kuwepo maadui, kughafilika nao na kutolishughulikia suala la kujibari kutakuwa ni kosa kubwa na lenye madhara mengi mno.
Ayatullah Khamenei

Kufuru inategemea Taghuti na Imani Inafungamana na Mwenyezi Mungu