wallpaper

IQNA

Mtume Muhammad SAW amesema: Umoja ni chanzo cha rehema na mifarakano inasababisha adhabu. Kanz al Ummal Hadithi ya 20242
Habari ID: 3472027   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/01

Imam Ali AS alisema: Pepo inapatikana kwa amali na wala si kwa kutamani. Ghurar Al-Hikam Wa Durar Al-Kalim Uk.350 Hadithi ya 4355
Habari ID: 3471437   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/21

Kiongozi wa Waumini, Ali AS amesema: Katika Ikhlasi ya nia kuna ushindi katika kazi. Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim , Hadithi ya 6510
Habari ID: 3471394   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/17

…Na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu... Qur'ani Tukufu Sehemu ya Aya ya 87 ya Surat al Al Baqara
Habari ID: 3471329   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29

Mtume SAW amesema: Watu watakaokuwa karibu zaidi nami na watakaostahiki zaidi Shifaa yangu katika Siku ya Qiyama ni wale ambao ni wakweli, waaminifu, wenye akhlaqi njema na waliokaribu zaidi na watu. Wasail al-Shia, Juz. 8, Uk. 514.
Habari ID: 3471280   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/25

Imam Hussein AS alisema: Mja ambaye atamuabudu Mwenyezi Mungu kama anavyostahiki kuabudiwa, Mwenyezi atampa kilicho zaidi ya alichokiomba. (Mawsuat Kalimat al-Imam al-Hussein AS. Hadithi ya 906, Uk. 748)
Habari ID: 3471190   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/25

Habari ID: 3471151   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/01

Ewe Mwenyezi Mungu, Kwa hakika nakuomba umsalie Muhammad SAW. Mtume wa Rehma zako na neno la nuru yako, Ujaze moyo wangu nuru ya yakini, na kifua changu nuru ya Imani.
Habari ID: 3471115   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/10

Habari ID: 3471014   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/10

Hongera kwa munasaba wa kuanza mwezi wa Rabiul Awwal, machipuo ya uhai
Habari ID: 3470707   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/01

Leo ni Siku Kuu ya Idul Fitr; baada ya siku 30 za Mwezi wa Ramadhani wenye baraka tele na neema nyingi za Mwenyezi Mungu pamoja na baraka zake za kimaanawi. Huu ni mwanzo halisi wa kuelekea katika ubora wa mwanadamu. (Ayatullah Khamenei: 13/10/2007)
Habari ID: 3470433   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/05