IQNA

Picha za Mashindano ya Mpiga Picha Bora wa Astronomia

TEHRAN (IQNA) – Shindano la Mpiga Picha Bora wa Mwaka katika taaluma ya astronomia au Falaki limeandaliwa na Kituo Kifalme cha Astronomia cha Greenwich nchini Uingereza.

Picha hizo ni za mfumo wa Mfumo wa Jua (Solar System) na Njia Nyeupe (Milky Way)

 

Kishikizo: falaki ، astronomia