iqna

IQNA

falaki
TEHRAN (IQNA) – Shindano la Mpiga Picha Bora wa Mwaka katika taaluma ya astronomia au Falaki limeandaliwa na Kituo Kifalme cha Astronomia cha Greenwich nchini Uingereza.
Habari ID: 3472973    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/18

Mwana falaki (mwanaastronomia) mashuhuri wa Iran amesema kuwa kuna aya 750 katika Qur’ani Tukufu kuhusu sayansi asilia na sayansi jarabati kwa lengo la kuwakumbusha watu masuala kuhusu maudhui kama vile maumbile ya mbingu na ardhi, milima, mimea n.k.
Habari ID: 3340977    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/10