IQNA

TEHRAN (IQNA)- Qarii wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mahdi Ghulamnejad amesambaza klipu inayomuonyesha yeye na mwanae wakisoma pamoja sehemu ya Sura Al Balad katika Qur'ani Tukufu.

Aya wanazozisoma ni zifuatazo

       8.Kwani hatukumpa macho mawili? 

  1. Na ulimi, na midomo miwili? 
  2. Na tukambainishia zote njia mbili? 
  3. Lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani
  4. Na nini kitakujuvya ni nini njia ya vikwazo vya milimani?