Katika msikiti huo kuna kaburi la Bibi Fatima Sughra, bintiye Imam Kadhim AS, Imamu wa Saba wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.