TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Bibi Heybat uko katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku na una usanifu majengo wenye mvuto.
Habari ID: 3474688 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17
TEHRAN (IQNA) – Washiriki katika Mkutano wa Pili wa Viongozi wa Kidini Duniani umefanyika huko Baki katika Jamhuri ya Azerbaijan ambapo washiriki wamesisitiza kuhusu ulazima wa kuheshimu uwepo wa dini mbali mbali sambamba na kuendeleza vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3472220 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/18