IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur'ani wanne Wairani wamesoma pamoja aya za 6 na 7 za Surah al Infitar.

Maqarii hao walioshirikiana katika qiraa hii ni pamoja na Mahdi Gholamnezhad, Hossein Fardi, Vahid Nazarian, na Mohsen Yarmohammadi. 

Aya za Sura Infitar ambazo wanazisoma katika klipu hapo chini ni:

  1. Ewe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha Mola wako Mlezi Mtukufu? 
  2. Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha,
    کد ویدیو
Kishikizo: qiraa ، qurani tukufu ، Gholamnezhad ، Fardi ، Nazarian