Kikao cha Mwisho cha Tarteel ya Qur'ani Tukufu katika Haram ya Bibi Maasoumah SA mjini Qum
QOM (IQNQ) - Kikao cha mwisho cha kisomo cha Qur'ani Tukufu cha tarteel kimefanyika Jumapili katika Haram Takatifu ya Bibi Maasoumah mjini Qum. Siku Kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa nchini Iran Jumanne.
copied
https://iqna.ir/H0Ea3Z