IQNA

Mandhari yenye mvuto ya Shiraz, Johari ya Kusini-Magharibi mwa Iran

SHIRAZ (IQNA)- Tarehe 15 Ordibehesht mwaka wa Hijria Shamsiya sawa na 5 Mei huadhimishwa kama Siku ya Kitaifa ya Mji wa Shiraz. Huu ni mji ulio kusini maghairbi mwa Iran na una maeneo mengi ya kihistoria, kiutamaduni na kimaumbile na hivyo ni kati ya maeneo yenye mandhari ya kuvutia nchini Iran hasa katika simu wa machipuo.

Hizi hapa chini ni baadhi vya maeneo yenye kuwavutia watalii mjini humo.

 
 
Kishikizo: shiraz ، iran