Kikao cha Kusoma Qur'ani Katika Haram Takatifu jijini Qom
IQNA - Kikao cha Kusoma Qur'ani kiifanyika kwenye kaburi tukufu la Bibi Masoumah (SA) huko Qom, Iran, tarehe 18 Desemba 2024.
Vijana waliohifadhi Qur'ani walitunukiwa katika hafla hiyo.
copied
https://iqna.ir/H0EbHy