qom

IQNA

IQNA – Mtaalamu mkongwe wa Qur'an, Abbas Salimi, amesema kuwa mashindano ya Qur'an yana mchango mkubwa katika kuimarisha jamii na kuzuia Qur'an Tukufu kusahaulika au kuwekwa pembeni.
Habari ID: 3481352    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/11

IQNA – Baada ya kufanikisha toleo la kwanza la mashindano ya Qur'ani ya ‘Zayin al-Aswat’ nchini Iran, waandaaji wamepanga kuongeza makundi mapya katika tukio hili mashuhuri.
Habari ID: 3481348    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/10

IQNA – Qari maarufu wa Iraq na mtangazaji wa televisheni Sayyid Hassanayn al-Hulw ameisifu mashindano mapya ya Qur’an ya Iran yaliyopewa jina la “Zayin al-Aswat”, akiyataja kuwa jukwaa la mabadiliko linalofichua vipaji vya kipekee vya vijana na kuimarisha misingi ya elimu ya Qur’an.
Habari ID: 3481340    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/08

IQNA – Mashindano ya Qur'an kama ‘Zayin al-Aswat’ huwapa vijana msukumo wa kiroho na hutoa kipimo sahihi cha maendeleo yao katika usomaji wa Qur'an, amesema Qari maarufu kutoka Iran, Ahmad Abolqassemi.
Habari ID: 3481337    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/07

IQNA – Afisa wa kamati ya maandalizi ya mashindano ya kwanza ya Qur'ani ya Zayin al-Aswat amesema kuwa lengo kuu la tukio hilo la Qur'an ni kutambua, kulea, na kuandaa vipaji mahiri vya vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
Habari ID: 3481328    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/04

IQNA – Qari kijana kutoka Iran aliyeshiriki katika toleo la kwanza la mashindano ya Qur’ani ya ‘Zayin al-Aswat’(mapambo ya sauti) amesifu ubora wa mashindano hayo na kuyataja kuwa fursa muhimu ya kutambulisha wasomaji wa Qur’ani wasiojulikana sana nchini.
Habari ID: 3481323    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/03

IQNA – Hafla ya kufunga mashindano ya kwanza ya kitaifa ya Qur’ani yenye jina “Zayen al-Aswat” (mapambo ya sauti) ilifanyika siku ya Alhamisi mjini Qom, ambapo washiriki bora walienziwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3481322    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/03

IQNA – Taasisi za kidini na kiraia katika mji mtukufu wa Qom, Iran, zinajiandaa kuwapokea zaidi ya wafanyaziyara 500,000 wa Arbaeen kutoka zaidi ya nchi 30, kwa mipango mahsusi ya huduma.
Habari ID: 3481011    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/28

IQNA - Kikao cha Kusoma Qur'ani kiifanyika kwenye kaburi tukufu la Bibi Masoumah (SA) huko Qom, Iran, tarehe 18 Desemba 2024. Vijana waliohifadhi Qur'ani walitunukiwa katika hafla hiyo.
Habari ID: 3479934    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21

Katibu wa mkutano wa kimataifa kuhusu "Miaka 75 ya Uvamizi huko Palestina" alisema karatasi 300 za lugha 6 zimewasilishwa kwenye mkutano huo.
Habari ID: 3479027    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29

QOM (IQNA) - Haram Takatifu (kaburi) ya Bibi Maasuma (SA) huko Qom, Iran imepambwa kwa maelfu ya maua siku ya Ijumaa kuadhimisha sherehe za Karamat.
Habari ID: 3477020    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema maadui walidhani kuuawa shahidi kamanda shujaa katika vita dhidi ya ugaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimaini kungekuwa tishio kwa Iran lakini watu wa Iran wamegeuza tukio hilo kuwa fursa kutokana na imani yao ya kidini.
Habari ID: 3474784    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatekeleza mkakati wa kuhakikisha inageuka na kuwa kitovu cha utalii halali kwa lengo la kuwavutia Waislamu milioni 15 kutoka maeneo mbali mbali duniani.
Habari ID: 2910925    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28