IQNA

Imamzadeh Abdol Momen, Isfahan, Iran

IQNA – Imamzadeh Abdol Momen ni haram takatifu huko Habibabad, mkoa wa katikati wa Isfahan, Iran, ni mahali alipozikwa ya Abdol Momen, ambaye ni katika dhuriya ya Imam Musa Kadhim (AS). Likiwa na limejengwa miaka 700, eneo hili la kihistoria la ziyara lililo na mapambo na michoro mizuri linaonyesha sanaa na urithi wa kiroho katika historia ya Iran.

 
 
Kishikizo: imam kadhim as