IQNA – Imamzadeh Abdol Momen ni haram takatifu huko Habibabad, mkoa wa katikati wa Isfahan, Iran, ni mahali alipozikwa ya Abdol Momen, ambaye ni katika dhuriya ya Imam Musa Kadhim (AS). Likiwa na limejengwa miaka 700, eneo hili la kihistoria la ziyara lililo na mapambo na michoro mizuri linaonyesha sanaa na urithi wa kiroho katika historia ya Iran.
Habari ID: 3479983 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01
Harakati za Qur'ani
IQNA - Vituo kadhaa vya Qur'ani vimejengwa kwenye njia ya mamilioni ya wafanyaziara wanaotaka kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Musa Kadhim (AS) nchini Iraq.
Habari ID: 3478290 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02
QOM (IQNA) - Haram Takatifu (kaburi) ya Bibi Maasuma (SA) huko Qom, Iran imepambwa kwa maelfu ya maua siku ya Ijumaa kuadhimisha sherehe za Karamat.
Habari ID: 3477020 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/20
TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 1314 iliyopita alizaliwa Imam Musa al Kadhim ambaye ni mmoja kati ya wajukuu watukufu wa Bwana wetu Muhammad SAW
Habari ID: 3474146 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31