Ukumbi wa Picha: Umati Mkubwa Wahudhuria Swala ya Ijumaa Tehran
IQNA – Makumi ya maelfu ya watu walihudhuria swala ya Ijumaa katika Uwanja wa Swala wa Imam Khomini jijini Tehran katika swala ya kihistoria ambayo iliongozwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei tarehe 4 Oktoba 2024.