Sala ya Idul Fitr 1446 (2025) katika Msikiti wa Mosalla, Tehran
IQNA – Mamia ya maelfu ya wakazi wa Tehran walikusanyika katika Msikiti wa Mosalla Imam Khomeini mnamo Machi 31, 2025, kushiriki Sala ya Idul Fitr iliyoswalishwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.