IQNA- Sheria mpya imetangaza Idul Adha na Idul Fitr kuwa sikukuu rasmi katika jimbo la Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3480522 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
IQNA- Ustadh Hadi Mowahhed Amin, qari wa kimataifa wa Iran, asubuhi ya Mosi Shawwal 1446 Hijria (31 Machi 2025) katika mwanzo wa hafla ya Swala ya Idul Fitr jijini Tehran, alisoma aya za Surah ya Al-A‘laa katika Qur'ani Tukufu. Swala hiyo iliswalishwa na Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3480494 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04
IQNA – Waislamu kote ulimwenguni walisherehekea Idul Fitr mnamo Machi 30 na 31, wakihitimisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambao ni mwezi wa kufunga, kukithirhsa swala, qiraa ya Qur'ani na ukarimu. Zifuatazo ni picha za Idi kutoka nchi mbali mbali.
Habari ID: 3480480 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01
IQNA – Mamia ya maelfu ya wakazi wa Tehran walikusanyika katika Msikiti wa Mosalla Imam Khomeini mnamo Machi 31, 2025, kushiriki Sala ya Idul Fitr iliyoswalishwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Habari ID: 3480478 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01
Baraza la Idi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya kislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema kuimarika heshima ya Uislamu na kukabiliana na dhulma na uonevu wa madola makubwa vinategemea umoja na utambuzi wa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3480477 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31
IQNA-Takriban Wapalestina 120,000 walikusanyika kwa ajili ya Swala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel licha ya vikwazo vilivyowekwa na vikosi vya utawala huo dhalimu.
Habari ID: 3480476 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani kuhusu vitiso vyake dhidi ya Iran na kusema kikosi pekee cha niaba katika eneo hili (Asia Magharibi) ni utawala wa Kizayuni ambao unavamia nchi nyingine kwa niaba ya madola ya kikoloni ya dunia na ni "lazima ung'olewe."
Habari ID: 3480474 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31
IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa wito wa kuimarisha zaidi umoja na huruma miongoni mwa mataifa ya Kiislamu. Katika ujumbe wa pongezi kwa wenzake Waislamu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr, inayoadhimisha baada ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani,
Habari ID: 3480472 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
IQNA- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu duniani kote kwa mnasaba wa kuwadia kwa Sikukuu Tukufu ya Idul Fitr.
Habari ID: 3480471 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
IQNA – Nchi kadhaa ulimwenguni kote zimethibitisha rasmi kuwa Jumapili, Machi 30, 2025, itakuwa siku ya kwanza ya Idul Fitr.
Habari ID: 3480469 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
Sala ya Idu
IQNA - Sala ya Idul Fitr katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ilishuhudia mahudhurio makubwa ya waumini na wafanyaziyara siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478671 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11
Sikukuu ya Idul Fitr
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
Habari ID: 3478662 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10
Salamu za Idul Fitr
IQNA-Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3478661 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10
Idul Fitr
IQNA – Hilali ya mwezi wa Shawwal imeandamana leo jioni nchini Iran na kwa msingi huo Jumatano Aprili 10 2024 itakuwa Mosi Shawwal 1445 Hijria Qamaria na siku kuu ya Idul Fitri.
Habari ID: 3478659 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09
Idul Fitr
TEHRAN (IQNA) - Kwa watoto katika jamii ya Waislamu wa eneo la St. John nchini Kanada, Jumamosi ilikuwa siku ambayo walijumuika pamoja baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476904 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/23
Matukio ya Sudan
TEHRAN (IQNA)- Mashambulizi ya mara kwa mara yalirindima katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum hata baada ya pande mbili hasimu kutangaza kusitisha mapigano
Habari ID: 3476903 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: mkakati wa sasa wa Ulimwengu wa Kiislamu inapasa uwe ni kuwasaidia na kuwaimarisha wapigania ukombozi ndani ya Palestina.
Habari ID: 3476902 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22
Sikukuu ya Idul Fitr
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika hotuba za Sala ya Idul Fitr amesisitiza kuwa, irada iliyoimarika kitaifa itatatua matatizo ya nchi.
Habari ID: 3476901 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22
Idul Fitr
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za kheri na fanaka kwa Waislamu kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr ambayo ni siku ya kurejea katika Fitra na ni wakati wa fahari na furaha kwa waliofunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na waja wema wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476900 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22
Mawaidha
Tehran (IQNA)- Idul Fitr, ambayo ni siku kuu inayoashiria kumalizika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, inamaanisha kurudi katka maumbile ya asili au Fitra na kwa kweli ni alama ya mwanzo wa mwaka mpya wa kiroho
Habari ID: 3476897 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/21