Amirul-Muuminin Ali AS alisema: Huenda milima ikatoweka (mahali pake) lakini wewe bakia imara...na ufahamu kuwa ushindi unatoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu Nahjul Balagha, Hotuba ya 11