IQNA

Wanachama wa kujitolea wa Harakati ya Jihadi Islami ya Palestina, wamenyunizia dawa ya kuzuia kuenea kirusi cha Corona katika Masjid Al-Amri, ambao ni msikiti mkongwe zaidi katika Ukanda wa Ghaza.