IQNA

Msikiti Mkongwe zaidi Ghaza wanyunyiziwa dawa kukabiliana na Corona

Wanachama wa kujitolea wa Harakati ya Jihadi Islami ya Palestina, wamenyunizia dawa ya kuzuia kuenea kirusi cha Corona katika Masjid Al-Amri, ambao ni msikiti mkongwe zaidi katika Ukanda wa Ghaza.