IQNA

Kufuatia kuongezeka maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona katika Mji wa Ghaza, wakuu wa eneo hilo la Palestina wanatekeleza hatua kali za kudhibiti maambukizi.

Kati ya hatua hizo ni kufunga dara zote za serikali, maduka yasiyo ya dharura, na kuwazuia watu kutoka nje.  Ukanda wa Ghaza uko katika mzingiro wa kikatili wa utawala haramu wa Israel na janga la COVID-19 limefanya hali kuwa mbaya zaidi.

 

 

Kishikizo: ghaza ، palestina ، covid 19