Masomo ya Qur'ani yaanza tena katika Ukanda wa Ghaza
TEHRAN (IQNA)- Masomo ya Qur'ani yameanza tena katika misikiti ya Ukanda wa Ghaza siku ya Jumapili baada ya kufungwa kwa miezi miwili kutokana na janga la COVID-19 au corona.
copied
https://iqna.ir/H0EZT6