Jinai za Israel
        
        IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura maazimio mawili, moja la kutaka kusitishwa kwa mapigano mara moja katika Ukanda wa Ghaza na la pili la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe marufuku yake kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA.
                Habari ID: 3479893               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/12/12
            
                        Kimbunga cha Al Aqsa
        
        TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio lililopendekezwa na nchi za Kiarabu na kutaka kutekelezwa usitishaji vita wa kibinadamu haraka iwezekanavyo huko Ghaza.
                Habari ID: 3477803               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/10/28
            
                        Jinai za utawala haramu wa Israel
        
        TEHRAN (IQNA)- Januari 19 inatambuliwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Ghaza" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza (Gaza) huko Palestina.
                Habari ID: 3476430               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/01/19
            
                        Siku ya Wanawake Duniani
        
        TEHRAN (IQNA)- Leo tarehe 8 Machi inatambuliwa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Pamoja na kuwa wanawake maeneo mengi duniani wanasherehekea siku hii kwa shangwe, huko Palestina hali ni tofauti kwani wanawake wanuawa kiholela na jeshi la utawala haramu wa Israel.
                Habari ID: 3475021               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/03/08
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Qur’ani Tukufu cha Al Sidra katika Ukanda wa Ghaza kimeandaa mahafali ya kuhitimu kundi la vijana waliohitimu kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
                Habari ID: 3474926               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/02/13
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)-Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wamepamba mitaa yao kwa mabango makubwa ya Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
                Habari ID: 3474755               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/01/02
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Waliotenda jina katika Vita vya Furqan (vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza mwaka 2008-2009) hawataruhusiwa kukwepa mkono wa sheria, imesisitiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
                Habari ID: 3474731               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/12/27
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuanza  sherehe za maadhimisho ya mwaka wa 34 tangu kuasisiwa kwake.
                Habari ID: 3474647               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/12/06
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Sherehe kubwa imefanyika Jumatano usiku katika Ukanda wa Ghaza huko Palestina kuwaenzi wasichana na wavulana 1,000 ambao wamehifadhi Qur'ani hivi karibuni.
                Habari ID: 3474489               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/10/29
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Vijana Wapalestina wapatao 140 ambao wamehifadhi Qur’ani Tukufu wameshiriki katika matembezi huko katika Ukanda wa Ghaza.
                Habari ID: 3474338               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/09/25
            
                        Ripoti
        
        TEHRAN (IQNA0- Mateka 6 wa Kipalestina wametoa pigo kali kwa hadhi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa hatua yao ya kuchimba njia ya chini ya ardhi iliyopewa jina la "Handaki ya Uhuru".
                Habari ID: 3474323               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/09/21
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Hafla imefanyika katika mji wa Khan Yunis katika eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza  kwa lengo la kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
                Habari ID: 3474321               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/09/21
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Dar Al-Quran na Al-Sunnah ya Ukanda wa Ghaza zimefanya matembezi makubwa ya watoto wa Qur'ani katika kambi ya Nuseirat katikati mwa eneo hilo
                Habari ID: 3474261               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/09/05
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza udharura wa kuendeleza mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kutumia suhula na nyenzo zote.
                Habari ID: 3474228               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/08/26
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Jumamosi usiku, ndege za kivita za utawala Israel zilishambulia kwa mabomu maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza ambapo Wapalestina wapatao 41 wamejeruhiwa, wawili wao wakiwa na majeraha makali.
                Habari ID: 3474215               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/08/22
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mashambulio yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Ghaza yalifikia kiwango cha jinai za kivita.
                Habari ID: 3474134               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/07/28
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imewatumia barua Wapalestina wanaoishi katika kambi za wakimbizi nchini Syria na kuwashukuru kwa jumbe  za pongezi kufuatia ushindi katika vita vya Ghaza.
                Habari ID: 3474095               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/07/12
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati zingine ukombozi wa Palestina zinatafakari kuhusu kutumia nguvu kuulazimu utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe mzingiro wake dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
                Habari ID: 3474080               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/07/08
            
                        Taarifa ya Hamas
        
        TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, mashambulizi ya Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza pia hayawezi kuzima harakati za kupigania ukombozi wa Palestina.
                Habari ID: 3474069               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/07/04
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia maeneo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza na hivyo kukiuka mapatano ya hivi karibuni ya usitishwaji vita.
                Habari ID: 3474064               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/07/02